RED SEA FC
Vijana hawa ni moja ya mazao HATARI sana kisoka ndani ya Kigamboni yetu ila kutokana ka usimamizi mbovu wa kimichezo wengi wamejikuta wakiachana na soka na kufanya kazi zao binasfi.. Michezo ni ajira inayowapa fursa vijana kujikwamua KIMAENDELEO tusidharau hilo..
Nisiongee mengi acha niwape list ya kikosi;
1.SHUKURU
2.UNKNOWN
3.JACK
4.EDDY
5.CHII
6.KIZA
7.CHAIJABA
8.MABE
9.NYAMBI
10.KIDISHI SWEDI
11.KABUGO
Vijana wanajituma kwa moyo sana tafadhalini tuungane ili kuwapa fursa ya kuonyesha vipaji vyao wajikwamue kimaisha

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni